Kwa mujibu wa mtandao wa TeenTZ: Marehemu Albert Mangwea “Ngwair” alikua
na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni
mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.
Habari
zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba
maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu
ya uhai wake. “hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na
yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo
tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu” – Daktari
amenukuliwa.
Source:
BY:MKOLERA
No comments:
Post a Comment