Hapa Ndipo Mwili wa Marehemu albert Mangwea Ulipohifadhiwa Kwenye Hii Hospitali ya Helen Joseph
Ngwea amefariki dunia jana asubuhi katika moja ya vitongoji
vya jiji la Johannesburg na baadaye wenzake walimkimbiza katika Hospitali ya St
Helen Joseph.R.I.P
By:MKOLERA
No comments:
Post a Comment