Soma Kisa na Chanzo Cha Kifo cha Msanii Albert Mangwea Kwa Mujibu wa Mtoa Report Aliekuwa South Africa
Msanii wa Bongo Fleva Albert Mangwair a.k.a Ngwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini.
Taarifa zinasema Kwamba
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana
south africa.mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi dar leo lakini
waliwakuta wamezima kwenye room
wote wawili baada ya kuji overdose
madawa ya kulevya na M to the P yupo
hoi hospitali.
by:MKOLERA
No comments:
Post a Comment