Frashvortex

Tuesday

ANNOUNCEMENT

NDUGU ZANGU WAPENDWA,WADAU WA EAST AFRICA,SOTE TUKO SAFARINI KUELEKEA KWA MUNGU BABA MWENYE ENZI YOTE.
TUNACHO PASWA KWA SASA NI KUJIULIZA JINSI SAFARI YETU ITAKAVYO KUWA,WAKATI GANI NA MAHARI GANI,JE ITAKUWA KAMA YA BROTHER WATU NGWEAR AMA SHARO,N.K. KWETU WADAMU NI WAKATI WA MAJONZI SANA KWA KUONDOKEWA NA MSANII AMBAE TULIMPENDA SANA ;LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI YETU ,KWAHIYO HATUNA BUDI KUMWOMBEA APUMZIKE KWA AMANI HUKO ALIKO TANGULIA.
NASI TUKO NYUMA YAKE...................................!
                                                                            MKOLERA


No comments:

Post a Comment