HIVI NDIVYO WANAJESHI WA JESHI LA KENYA WANAVYO PATA TABU.
TUWAOMBEE KWA MUNGU ILI AWANUSURU NA JANGA HILI ZITO LINALO WAKABILI.
SIKIA KWA JIRANI TU,LAKINI ISITOKEE KWAKO MAANA NI BALAAAAAA.....!
WANA EAST AFRICA,TUWAOMBEE KWA HALI NA MALI NDUGU ZETU JAMANI.
HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA HALI YA WENZETU WAKENYA,TABU NYINGI WANAZIPATA,HURUMA YA MUNGU IWAFIKIE JAMANI.....!
ANGA LIMECHAFUKA KWELI KWELI JAMANI,NI JANGA LA TAIFA HILI.
TAZAMA TABU WANAZO PATA WANAJESHI JAMANI ,KAMA TUKO SOMALIA.......!
Nikiwa kama kiongozi wa BLOG hii, napenda kutoa pole za dhati kwa wana -EAST AFRICA GUYS wote kwa JANGA hili linalo wakabili wenzetu wa KENYA tangu siku ya JUMAMOSI mpaka leo hii.pia pole nyingi ziende kwa wale wote walio ondokewa na ndugu/wazazi/watoto na wengineo katika janga hili.
Tuko pamoja nao kwa kila hatua na tunwaombea kwa MUNGU awape nguvu na imani katika kipindi hiki kigumu sana.
AMEN:
No comments:
Post a Comment