MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA A.K.A NGWAIR WAPOKEWA NYERERE AIRPORT NA UMATI WA WATANZANIA
Wasanii,waandaji,mashabiki na wadau wa muziki
wa kizazi kipya Tanzania wameungana kupokea mwili wa marehemu Albert
Mangwear pale Air Port Mchana wa leo.Albrt Mangweha "Ngwair" alifariki
Jumanne iliyopita 28/5/2013 huko Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment