Hivi ndivyo sherehe za maazimisho ya miaka 49 ya MUUNGANO zilivyo fana katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam,sherehe hizo zilizo ongozwa na mkuu wa majeshi MH:JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Hizi baadhi ya picha,Ndege za kivita zikiwa zinapita katika anga la TANZANIA,JESHI LA WANANCHI ,WANANCHI pamoja na WAGENI WAALIKWA KUTOKA NCHI JIRANI.
%MKOLERA%
No comments:
Post a Comment