GWIJI LA MUSIC KUTOKA PANDE ZA NAIROBI-KENYA AKIFANYA MAANGAMIZI YAKE JANA NDANI YA MAISHA CLUB.
Rapper
wa Kenya Jackson Makini aka Prezzo jana usiku alidondosha show ya
ukweli kwenye ukumbi wa New Maisha Club ambapo alisindikizwa na wasanii
kibao. Miongoni mwa waliompa kampani ni pamoja na maswahiba wake, Mwana
FA na AY, TID, Hemedy na Stereo. Hizi ni picha za show hiyo.
%MKOLERA%
No comments:
Post a Comment