Papa Benedict XVI atajiuzulu ifikapo February 28 mwaka huu, muongeaji wake Father Federico Lombardi ameiambia CNN siku ya leo.
Pope mwenye umri wa miaka 85 anajiuzulu kutokana na umri wake kwenda sana
"nguvu
ya kufikiri kwa akili na mwili ni muhimu sana, nguvu ambayo miezi
michache iliyopita imepungua sana kwangu kiasi kwamba nilitambua
kutojiweza kwangu kutimiza majukumu yangu." Papa aliwaambia makadinali.
papa
wa mwisho kujiuzulu alikua ni Gregory XII, mwaka 1415, na alifanya
hivyo kumaliza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya kanisa, ambapo
zaidi ya mtu mmoja walidai kuwa papa.
Benedict, papa wa 265, ni mjerumani wa 6 kutumikia kama papa, na wakwanza tangu karne ya 11, na alikuwa papa mwaka 2005
kuipindi
cha papa Benedict kimekua na mtiririko wa skendo na mabishano, ikiwa ni
pamoja na mamia ya madai ya unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa
wachungaji.
No comments:
Post a Comment