Frashvortex

Sunday

HERI YA MWAKA MPYA

Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa MUNGU BABA MUUMBA MBINGU NA INCHI, kwa kunipa pumzi ya kutosha mpaka mda huu, pili kwa wazazi wangu wapendwa yaani MZEE.DANIEL MKOLERA NA REGINA MKOLERA kwa kunijali kwa kila hali ambayo nilikuwa nikiipitia katika kipindi chote cha mwaka 2012.
Tatu ni kwa wale wote ambao walikuwa karibu yangu kwenye FURAHA, NA MATATIZO.
Kiukweli sina cha kuwalipa zaidi ya shukrani tu na kuwaombea kwa MUNGU awape uzima tele.
Nawatakia mwanzo mzuri wa mwaka 2013 na muendelee kupata ridhiki kila kukicha.
                 Nawapenda sana wadau wangu.
                        AHSANTENI SANA.

No comments:

Post a Comment